TIBA MPYA

Saturday, July 3, 2021

HII NDIO KIBOKO YA UNENE,UZITO,KITAMBI,NYAMA UZEMBE,SUMU NA MAFUTA MWILINI


HII NDIO KIBOKO YA UZITO,UNENE,KITAMBI,NYAMA UZEMBE ,TUMBO,MAFUTA NA SUMU MWILINI !!!

Shirika la Afya Duniani (WHO), limeonya kuhusu ongezeko la watu wenye unene wa kupitiliza, huku wakitaja hiyo kuwa ni sababu kuu ya kuwapo kwa watu wengi wenye maradhi ya moyo, kisukari na ini.

Pamoja na watu hawa kuhitaji kufanya mazoezi ili  kupunguza uzito wa miili yao, wataalamu wa chakula  na lishe wanashauri kufanya mazoezi, kula vyakula kulingana na kundi lako la damu na aina ya vyakula unavyopaswa kula.


MADHARA YA KUWA NA UZITO MKUBWA


Ukiwa na uzito mkubwa madhara yafuatayo huweza kujitokeza;


>>Matatizo kwenye figo

>>Uwepo wa michirizi

>>Kupunguza hamu ya tendo la ndoa

>>Kuharibu mfumo mzima wa upumuaji

>>Kuharibu ini

>>Hupelekea uwezekano wa kupata kisukari na tatizo la presha 

>>Hupelekea changamoto kwenye mfumo wa moyo

>>Hupelekea kuleta shida kwenye mfumo wa ubongo

>>Hupunguza kasi ya kuishi

>>Huleta shida kwenye mmeng'enyo wa chakula

>>Maumivu kwenye viungo kama vile magoti,kiuno nk

>>Kuongeza kiwango cha mafuta mwilini.


FAIDA ZA LISHE YA KUPUNGUZA MWILI


>>Inaondoa kitambi cha mafuta.

>>Inaondoa minyama uzembe.

>>Inapunguza uzito

>>Inaboresha mzunguko wa damu.

>>Inazuia sukari isifyonzwe mwilini.

>>Inaongeza uwezo wa mwili kuchoma mafuta.

>>Inazuia mafuta yasifyonzwe na kuhifadhiwa mwilini.

>>Inaondoa hamu ya kupenda vitu vitamu.

>>Inazuia ubadilishwaji wa chakula cha wanga.

>>Inayayusha mafuta yaliyoko mwilini

>>Huzuia sukari isifyonzwe mwilini.


NANI ANAPASWA KUTUMIA ??


>>Wanaotaka kupunguza uzito

>>Wanaotaka kuondoa kitambi

>>Wanaotaka kuondoa minyama uzembe.

>>Wanaotaka kupunguza mwili.


MATUMIZI YAKE

>>Kunywa kijiko kimoja kwenye maji ya moto robo lita kutwa mara 1 tu

 

Kwa matokeo mazuri ya mda mchache

 

>>Fanya Mazoezi kila siku (dk 30) kuruka kamba au kutembea au kukimbia au yoyote 

>>Punguza vyakula vya Wanga na Vinywaji vya Sukari.


Tiba, ushauri na utafiti [Dawa asili]

Tanzania -Dar -es-salaam 

NaturalBidoha



TUPIGIE [CALL US] BOFYA NAMBA HII >>>0656302000


BOFYA NAMBA CHINI KUJA WHATSAPP INBOX

>>>0656302000

No comments:

Post a Comment